Ratiba Ya Mtihani Wa NECTA Kidato Cha Sita 2025

mtihani ratiba

Ratiba Ya Mtihani Wa NECTA Kidato Cha Sita 2025

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza ratiba rasmi ya mitihani ya kuhitimu elimu ya sekondari ya juu (Advanced Certificate of Secondary Education Examination – ACSEE) kwa mwaka 2025. Mitihani hiyo imepangwa kuanza rasmi tarehe 5 Mei 2025 na itakamilika tarehe 26 Mei 2025. Ratiba hii inahusisha masomo mbalimbali na itatekelezwa kwa mujibu wa muda uliopangwa.

Ratiba ya Mitihani ya Kidato cha Sita 2025 (NECTA)

Mitihani itaanza tarehe 5 Mei 2025 na kumalizika tarehe 26 Juni 2025.

Muda wa Mitihani:

  • Asubuhi: 8:00 – 11:00 (Isipokuwa kama ilivyoainishwa vinginevyo)
  • Mchana: 2:00 – 5:00

Ratiba kwa Mujibu wa Siku:

Jumatatu, 5 Mei:

  • Asubuhi: General Studies
  • Mchana: English Language 1, Chemistry 1

Jumanne, 6 Mei:

  • Asubuhi: Kiswahili 1, Basic Applied Maths, Advanced Maths 1
  • Mchana: Economics 1, History 1, Chinese Language 1

Jumatano, 7 Mei:

  • Asubuhi: Kiswahili 2, Physics 1, Agriculture 1
  • Mchana: Accountancy 1, Geography 1, Physical Education 1, French Language 1

Alhamisi, 8 Mei:

  • Asubuhi: History 2, Biology 2
  • Mchana: English Language 2, Chemistry 2

Ijumaa, 9 Mei:

  • Asubuhi: Geography 2, Agriculture 2
  • Mchana: Commerce 2, Fine Art 1, Chinese Language 2, Physics 2

Jumatatu, 12 Mei:

  • Asubuhi: Food and Human Nutrition 2, Advanced Maths 2
  • Mchana: Economics 2, Divinity 1, Islamic Knowledge 1

Jumanne, 13 Mei:

  • Asubuhi: Agriculture 3 (Practical), Food and Human Nutrition 3 (Practical) (10:00 – 1:20)
  • Mchana: Computer Science 1

Jumatano, 14 Mei:

  • Asubuhi: Biology 3A (Practical), Chemistry 3A (Practical), Physics 3A (Practical) (10:00 – 1:20)
  • Mchana: Information and Computer Studies, Divinity 2, Islamic Knowledge 2

Alhamisi, 15 Mei:

  • Asubuhi: Computer Science 2 (Practical)
  • Mchana: Arabic Language 1

Ijumaa, 16 Mei:

  • Mchana: Arabic Language 2

Jumatatu, 19 Mei:

  • Asubuhi: Biology 3B (Practical) (10:00 – 1:20)

Jumanne, 20 Mei:

  • Asubuhi: Chemistry 3B (Practical) (10:00 – 1:20)

Jumatano, 21 Mei:

  • Asubuhi: Physics 3B (Practical) (10:00 – 1:20)

Alhamisi, 22 Mei:

  • Asubuhi: Biology 3C (Practical) (10:00 – 1:20)

Ijumaa, 23 Mei:

  • Asubuhi: Physics 3C (Practical) (10:00 – 1:20)

Jumatatu, 26 Mei:

  • Asubuhi: Chemistry 3C (Practical) (10:00 – 1:20)

Ratiba Ya Mtihani Wa NECTA Kidato Cha Sita 2025

Mwongozo Muhimu

  1. Wanafunzi wanatakiwa kufika kituoni angalau nusu saa kabla ya muda wa mtihani kuanza.
  2. Katika masuala ya kutoelewana kuhusu ratiba, wanafunzi wanashauriwa kuzingatia muda na maelekezo yaliyo kwenye karatasi ya maswali.
  3. Mitihani itaendelea kama ilivyopangwa hata ikitokea siku ya mapumziko ya kitaifa.

Kwa taarifa zaidi, wanafunzi na walimu wanapaswa kuzingatia matangazo rasmi kutoka NECTA. Tunawatakia kila la heri wanafunzi wote watakaofanya mitihani yao ya Kidato cha Sita mwaka 2025!

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo Kidato cha Nne 2024 Yanatoka Lini? (NECTA Results)
  2. Matokeo ya Form Four 2024 (CSEE Results)
  3. NECTA: Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 (Form Four Results)
  4. Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024
  5. NECTA Matokeo ya Kidato Cha Pili 2024 (Form Two Results)
  6. Matokeo ya Darasa la Nne 2024 NECTA
  7. Ngazi za Mishahara ya Walimu Tanzania 2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo