Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs MC Alger 18/01/2024

Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs MC Alger

Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs MC Alger 18/01/2024

Baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania, YANGA, kukamilisha kazi kubwa kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Hilal ugenini siku ya Jumapili, sasa wanajiandaa kwa mtihani muhimu zaidi. Jumamosi ya tarehe 18 Januari 2025, timu hiyo itashuka dimbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakaribisha MC Alger katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Hii ni fursa muhimu kwa YANGA kufanikisha ndoto ya kufuzu robo fainali ya michuano hii mikubwa barani Afrika.

Ili kuhakikisha mashabiki wanajitokeza kwa wingi na kuipa nguvu timu yao, tiketi za mchezo huo tayari zimetangazwa kupatikana katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Hapa chini ni orodha ya vituo hivyo, ambayo inahakikisha mashabiki wanapata tiketi kwa urahisi kulingana na maeneo yao:

Orodha ya Vituo vya Kununua Tiketi

  1. Young Africans – Jangwani
  2. Vunja Bei – Dar es Salaam Shops
  3. T-Money Ltd – Kigamboni
  4. Gitano Samweli – Mbagala Zakiem
  5. Khalfan Mohamed – Ilala
  6. Lampard Electronics
  7. Gwambina Lounge – Gwambina
  8. Karoshy Pamba – Dar Live (Zakhiem)
  9. Antonio Service – Sinza, Kivukoni
  10. Tumpe Kamwela – Kigamboni
  11. Sovereign – Kinondoni Makaburini
  12. View Blue Skyline – Mikocheni
  13. Mkaluka Traders – Machinga Complex
  14. New Tech General Traders – Ubungo
  15. Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
  16. Juma Burrah – Kivukoni
  17. Juma Burrah – Msimbazi
  18. Alphan Hinga – Ubungo
  19. Mtemba Service Co – Temeke
  20. Jackson Kimambo – Ubungo
  21. Shirima Shop – Leaders

Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs MC Alger 18/01/2024

Mashabiki wa YANGA wanahimizwa kuchukua hatua mapema kwa kununua tiketi zao katika vituo hivi ili kuepuka usumbufu wa dakika za mwisho. Kwa kuwahi tiketi, utajihakikishia nafasi ya kushuhudia moja kwa moja mtanange huu wa kihistoria na pia kutoa sapoti ya hali ya juu kwa wachezaji wa YANGA katika azma yao ya kushinda mchezo huo muhimu.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Viingilio Mechi ya Yanga vs MC Alger 18/01/2024
  2. Takwimu za Simba na Yanga Hadi Sasa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
  3. Simba Yakwama Kumsajili Okello, Vipers Wachomoa Betri
  4. Msimamo wa Kundi la Yanga Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025
  5. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe La Shirikisho Afrika 2024/2025
  6. Msimamo Kundi la Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo