Ratiba ya Mechi za Leo 12/01/2025 Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) & Ratiba ya Mechi za Leo Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) | Ratiba ya Simba na Yanga CAF Leo 12/01/2025
Ratiba ya Mechi za Leo 12/01/2025
Wikiendi ya “Gusa Achia Twende Robo Fainali” imefika. Timu kubwa barani Afrika na Ulaya zinaendelea kupigania nafasi ya kufuzu katika mashindano mbalimbali. Simba na Yanga, wawakilishi wa Tanzania, wanakabiliwa na changamoto muhimu kuelekea hatua za robo fainali za Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika, huku michezo mingine ya ligi kuu barani Ulaya na mechi za Kombe la FA nchini Uingereza zikitarajiwa kutoa burudani ya aina yake.
Mechi za CAF Leo
Katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup), timu mbalimbali zitashuka dimbani leo, 12 Januari 2025, kama ifuatavyo:
Africa CAF Champions League
- GROUP A:
22:00 – Hilal Omdurman vs Young Africans (Yanga SC) - GROUP C:
16:00 – Pirates vs Belouizdad - GROUP D:
19:00 – Djoliba vs Tunis
Africa CAF Confederation Cup
- GROUP A:
19:00 – Bravos vs Simba SC
19:00 – CS Constantine vs Sfax - GROUP B:
16:00 – CD Lunda-Sul vs Berkane
16:00 – Stellenbosch vs SM Bamako - GROUP C:
16:00 – Orapa Utd vs USM Alger
19:00 – Jaraaf vs ASEC - GROUP D:
19:00 – Black Bulls vs Zamalek
19:00 – Enyimba vs Masry
Mechi za Wawakilishi wa Tanzania
Leo, Simba na Yanga zina dakika 180 za kuamua hatma yao katika mashindano ya kimataifa:
- Simba SC watakuwa jijini Luanda, Angola, kupambana na Bravos do Maquis saa 1:00 usiku. Simba wanahitaji angalau sare ili kujihakikishia nafasi ya kufuzu robo fainali ya Kombe la Shirikisho.
- Yanga SC, kwa upande wao, watakabiliana na Al Hilal ya Sudan saa 4:00 usiku huko Mauritania. Ushindi ni muhimu kwa Yanga kuendelea kuwa na nafasi katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
Ratiba ya Mechi Barani Ulaya Leo 12/01/2025
Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1):
- Le Havre vs Lens – Saa 11:00 jioni
- Toulouse vs Strasbourg – Saa 1:15 usiku
- Montpellier vs Angers – Saa 1:15 usiku
- PSG vs Saint-Etienne – Saa 4:45 usiku
Bundesliga ya Ujerumani:
- Leipzig vs Bremen – Saa 7:30 mchana
- Augsburg vs Stuttgart – Saa 9:30 alasiri
Serie A ya Italia:
- Genoa vs Parma – Saa 5:30 asubuhi
- Venezia vs Inter Milan – Saa 8:00 mchana
- Bologna vs Roma – Saa 10:00 usiku
- Napoli vs Verona – Saa 12:45 asubuhi
La Liga ya Uhispania:
- Las Palmas vs Getafe – Saa 7:00 mchana
- Atletico Madrid vs Osasuna – Saa 9:15 alasiri
Mechi za FA Cup, Uingereza
Mashabiki wa mpira wa miguu pia watashuhudia mechi kali za Kombe la FA:
- Hull vs Doncaster – Saa 6:00 mchana
- Tamworth vs Tottenham – Saa 6:30 mchana
- Arsenal vs Manchester United – Saa 9:00 alasiri
- Newcastle vs Bromley – Saa 9:00 alasiri
Mapendekezo ya Mhariri:
- Al Hilal VS Yanga Leo 12/01/2025 Saa Ngapi?
- Timu Zilizofuzu Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
- Msimamo wa Kundi la Yanga Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025
- Mazembe Yaondolewa Ligi ya Mabingwa na MC Alger Baada ya Kipigo cha 1-0
- Bao la Inzaghi Laipa Zanzibar Heroes Tiketi ya Fainali Kombe la Mapinduzi
- CV ya Jonathan Djogo Kapela: Winga Mpya wa Yanga SC
- Zouzou Landry Atua Azam FC Kutoka Ivory Coast
- Kilimanjaro Stars Yaondolewa Mapinduzi Cup Bila Bao Wala Pointi
- Kikosi cha Simba Kilicho Safiri Kwenda Angola Kuifuata Bravos
- Shassir Nahimana (31) Atambulishwa Rasmi na Pamba Jiji
- Msimamo Wa Kundi Mapinduzi Cup 2025
Leave a Reply