Singida Bs VS Simba Sc Leo 28/12/224 Saa Ngapi?
Saa 10:00 jioni leo, Singida BS watakuwa nyumbani katika Uwanja wa CCM Liti, Singida, wakiwakaribisha Simba SC katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Mchezo huu ni muhimu kwa pande zote mbili, huku Singida BS wakiwa nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi na Simba SC wakiwa kileleni. Je, itakuwa ni Mnyama au Walima Alizeti kuondoka na alama tatu?
Mechi hii, inayotarajiwa kuvutia mashabiki wengi, itarushwa moja kwa moja kupitia AzamSports1HD.
Mapendekezo ya Mhariri:
- Matokeo ya Yanga Vs Dodoma Jiji leo 25/12/2024
- Penati ya Dakika za Majeruhi Yaipa Simba Pointi Tatu Dhidi ya JKT
- Shaban Chilunda Awindwa na KMC
- Yanga Yaibuka na Pointi tatu Dhidi ya Tanzania Prisons
- Vita ya Kumsajili Okoyo Yazuka Kati ya KMC, Mashujaa na Namungo
- Guede Afunguka Sababu za Kutemwa Singida Black Stars
- Kagera Sugar Karibu Kumsajili Adam Adam Kutoka Azam FC
Leave a Reply