Kagera Sugar vs Simba Leo 21/12/2024 Saa Ngapi?
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, leo wanashuka dimbani kukabiliana na wenyeji wao, Kagera Sugar, katika Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Simba, ambao wako kwenye rekodi nzuri ya matokeo hivi karibuni, wanapambana kuhakikisha wanapata alama tatu muhimu ugenini ili kuendelea kuweka hai ndoto za kunyakua ubingwa wa ligi msimu huu, baada ya kuukosa kwa misimu mitatu mfululizo.
Mashabiki wa Simba na wapenzi wa soka nchini wanatarajia mechi yenye ushindani mkali, huku macho na masikio yakielekezwa kwa winga mpya machachari wa Simba, Elie Mpanzu, ambaye anatarajiwa kufanya maajabu uwanjani leo. Kama unatafuta taarifa kamili kuhusu mchezo huu, Habariforum tumekusogezea kila kitu unachohitaji kujua.
Taarifa Kamili Kuhusu mechi
Mapendekezo ya Mhariri:
Leave a Reply