Ratiba ya Mechi za Leo 08 December 2024
Kama wewe ni shabiki wa soka basi leo ni moja ya siku zilizojawa na burudani kubwa ya soka kutoka michuano mbalimbali duniani. Kutakuwa na mechi kutoka ligi kuu kama EPL, La Liga, Serie A, pamoja na michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF. Hapa tumekuletea ratiba kamili ya mechi zote zenye mvuto kwa siku ya leo, Desemba 08, 2024.
Africa CAF Champions League
- GROUP A: Hilal Omdurman vs Mazembe – Saa 22:00
- GROUP D: Djoliba vs Pyramids – Saa 19:00
Africa CAF Confederation Cup
- GROUP A: CS Constantine vs Simba – Saa 19:00
- GROUP A: Bravos vs Sfax – Saa 19:00
- GROUP B: Stellenbosch vs Berkane – Saa 16:00
- GROUP B: CD Lunda-Sul vs SM Bamako – Saa 16:00
- GROUP C: Orapa Utd vs ASEC – Saa 16:00
- GROUP C: Jaraaf vs USM Alger – Saa 19:00
- GROUP D: Black Bulls vs Masry – Saa 16:00
- GROUP D: Enyimba vs Zamalek – Saa 19:00
England – Premier League
- Fulham vs Arsenal – Saa 17:00
- Ipswich vs Bournemouth – Saa 17:00
- Leicester vs Brighton – Saa 17:00
- Tottenham vs Chelsea – Saa 19:30
England – Championship
- West Bromwich vs Sheffield United – Saa 18:00
France – Ligue 1
- Lens vs Montpellier – Saa 17:00
- Strasbourg vs Reims – Saa 19:00
- Nantes vs Rennes – Saa 19:00
- Saint-Etienne vs Marseille – Saa 22:45
Germany – Bundesliga
- Wolfsburg vs Mainz – Saa 17:30
- Hoffenheim vs Freiburg – Saa 19:30
Italy – Serie A
- Fiorentina vs Cagliari – Saa 14:30
- Verona vs Empoli – Saa 17:00
- Venezia vs Como – Saa 20:00
- Napoli vs Lazio – Saa 22:45
Spain – La Liga
- Leganes vs Real Sociedad – Saa 16:00
- Bilbao vs Villarreal – Saa 18:15
- Osasuna vs Alaves – Saa 20:30
- Atletico Madrid vs Sevilla – Saa 23:00
Mapendekezo ya Mhariri:
- Dodoma Jiji Yatolewa Kombe la Shirikisho na Leo Tena kwa Penalti
- CS Constantine vs Simba Leo 08/12/2024 Saa Ngapi?
- Msimamo wa Kundi la Yanga Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025
- Yanga Yapasuka Tena Klabu Bingwa, Yachapwa 2-0 na MC Alger
- Matokeo ya MC Alger VS Yanga SC Leo 7/12/2024
- Ushindi wa Namungo dhidi ya Tanesco Wampa Mgunda Tumaini
- Hizi Apa Mbinu Za Fadlu Za Kuisambaratisha CS Constantine
- MC Alger Vs Yanga Leo 07/12/2024 Saa ngapi?
Leave a Reply