Ratiba ya Simba Sc December 2024
Wekundu wa Msimbazi Simba SC mwezi huu wa Desemba wanatarajia kuwa na kibarua kigumu katika michuano mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Ligi Kuu ya NBC na michuano ya Kombe la Shirikisho la CAF.
Simba SC, ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, wana mechi muhimu za kushindania nafasi bora kwenye makundi ya Kombe la Shirikisho na pia kudumisha nafasi yao kwenye Ligi Kuu. Kama wewe ni shabiki wa Simba SC na unataka kufuatilia kila hatua ya timu yako pendwa, basi hapa tumekuletea ratiba kamili ya mechi zao za Desemba 2024.
Ratiba Kamili ya Mechi za Simba SC Mwezi December 2024
1. CS Constantine vs Simba SC
- Tarehe: 8 Desemba 2024
- Muda: 19:00 (Saa 1 Usiku)
- Uwanja: Mohamed Hamlaoui Stadium, Algeria
2. Simba SC vs CS Sfaxien
- Tarehe: 15 Desemba 2024
- Muda: 16:00 (Saa 10 Jioni)
- Uwanja: Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam
3. Simba SC vs KenGold FC
- Tarehe: 18 Desemba 2024
- Muda: 16:00 (Saa 10 Jioni)
- Uwanja: Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam
4. Kagera Sugar vs Simba SC
- Tarehe: 21 Desemba 2024
- Muda: 16:00 (Saa 10 Jioni)
- Uwanja: Kaitaba Stadium, Bukoba
5. Tabora United vs Simba SC
- Tarehe: 28 Desemba 2024
- Muda: 16:00 (Saa 10 Jioni)
- Uwanja: Ali Hassan Mwinyi Stadium, Tabora
Mapendekezo ya Mhariri:
Leave a Reply