Dodoma Jiji Vs Azam Fc Leo 01/12/2024 Saa Ngapi?

Dodoma Jiji Vs Azam Fc Leo Saa Ngapi

Dodoma Jiji Vs Azam Fc Leo 01/12/2024 Saa Ngapi?

Mchezo wa leo kati ya Dodoma Jiji na Azam FC unatarajiwa kuanza majira ya saa 03:00 usiku katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Mashabiki wa soka kote nchini wanatazamia pambano hili lenye ushindani mkubwa kutokana na historia ya timu hizi zinapokutana, hususan katika uwanja huu wenye kumbukumbu mchanganyiko kwa Azam FC.

Dodoma Jiji Vs Azam Fc Leo 01/12/2024 Saa Ngapi?

Historia Fupi ya Mechi za Hivi Karibuni

Katika mechi nne za mwisho za Azam FC dhidi ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Jamhuri, rekodi zinaonesha matokeo yenye changamoto kubwa kwa Azam. Msimu uliopita, timu hizo zilitoka sare ya 0-0 huku msimu wa 2022/23 Azam walipoteza kwa mabao 2-1.

Ushindi pekee wa Azam katika uwanja huu ulitokea Juni 2022 ambapo waliweza kuibuka na ushindi wa goli 2-0. Hii inaashiria ugumu wa kuvunja ukuta wa Dodoma Jiji wanapokuwa nyumbani.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Ratiba ya Mechi za Leo 01 December 2024
  2. Yanga Yaibuka na Ushindi wa 2-0 Dhidi ya Namungo
  3. Matokeo ya Yanga vs Namungo leo 30/11/2024
  4. Kikosi cha Yanga vs Namungo leo 30/11/2024
  5. Ruud van Nistelrooy Ateuliwa kuwa Kocha Mkuu Leicester City
  6. Yanga vs Namungo leo 30/11/2024 Saa Ngapi?
  7. Tabora United Yaendelea Kugawa Dozi Ligi kuu
  8. Sandaland Yamtaka Ally Kamwe Kulipa Billion 3 Ndani Ya Siku 7
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo