Yanga vs Namungo leo 30/11/2024 Saa Ngapi?
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, leo wanatarajiwa kushuka dimbani kuwakabili Namungo FC katika muendelezo wa michezo ya Ligi Kuu msimu wa 2024/2025. Mchezo huu utafanyika kwenye Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa, mkoani Lindi, ukitarajiwa kuwa na mvuto mkubwa kutokana na hali ya matokeo ya hivi karibuni ya timu zote mbili.
Saa Ngapi na Wapi Kuangalia?
Mchezo huu utafanyika leo, Novemba 30, 2024, kwenye Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa, mkoani Lindi, na utaanza saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Mashabiki wanaweza kufuatilia matangazo mubashara kupitia vituo vya televisheni na mitandao ya kijamii inayoshirikiana na Ligi Kuu ya NBC.
Mapendekezo ya Mhariri:
- Tabora United Yaendelea Kugawa Dozi Ligi kuu
- Sandaland Yamtaka Ally Kamwe Kulipa Billion 3 Ndani Ya Siku 7
- Camara Aonya Kuhusu Ugumu wa Michuano ya CAF
- Simba na Yanga Zaekwa Kiporo Ratiba Mpya ya Kombe la FA
- Yanga Yapania Kurejea Kwa Kasi ya kimbunga Ligi Kuu
- Luhende Aonya Mastaa wa Soka Kuhusu Starehe Kupita Kiasi
Leave a Reply