Ratiba ya Mechi za leo 26/11/2024

Ratiba Ya Mechi Za Leo 19 August 2024

Ratiba ya Mechi za leo 26/11/2024

Siku ya leo, 26 Novemba 2024, bila shaka itaingia kwenye vitabu vya wapenda burudani ya soka wengi duniani kote sababu ya uwepo wa mechi mbalimbali ambazo zinatarajiwa kuacha historia ya kipekee na burudani ya aina yake. Leo mashabiki wataweza kushuhudia miamba kutoka ligi mbalimbali wakipigana vikali kuonesha umwamba wao. Kutoka UEFA Champions League, michuano ya Championship nchini Uingereza, hadi Ligi ya Mabingwa ya Afrika (CAF), kuna burudani ya kila aina kwa wapenda mpira wa miguu.

Ratiba ya Mechi za leo 26/11/2024

UEFA Champions League

  • 20:45 – Slovan Bratislava vs AC Milan
  • 20:45 – Sparta Prague vs Atl. Madrid
  • 23:00 – Barcelona vs Brest
  • 23:00 – Bayer Leverkusen vs Salzburg
  • 23:00 – Bayern Munich vs PSG
  • 23:00 – Inter Milan vs RB Leipzig
  • 23:00 – Manchester City vs Feyenoord
  • 23:00 – Sporting CP vs Arsenal
  • 23:00 – Young Boys vs Atalanta

English Championship

  • 22:45 – Burnley vs Coventry
  • 22:45 – Hull City vs Sheffield Wednesday
  • 22:45 – Norwich vs Plymouth
  • 22:45 – Sheffield United vs Oxford United
  • 22:45 – Stoke City vs Preston North End
  • 22:45 – Watford vs Bristol City
  • 23:00 – Sunderland vs West Bromwich
  • Scottish Premiership
  • 22:45 – Hibernian vs Aberdeen

CAF Champions League

Kundi A

  • 16:00 – TP Mazembe vs MC Alger
  • 16:00 – Young Africans vs Al Hilal Omdurman

Kundi B

  • 19:00 – Mamelodi Sundowns vs Maniema Union
  • 22:00 – Raja Casablanca vs TBD

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Mechi ya Yanga vs Al Hilal leo 26/11/2024 Saa Ngapi?
  2. Yanga Tayari kwa Vita ya CAF: Ramovic Afunguka
  3. Matokeo ya Darasa la Nne 2024 Morogoro
  4. Matokeo ya Darasa la Nne 2024 Mkoa Wa Manyara
  5. Yanga Uso Kwa Uso na Copco Kombe la FA
  6. Ratiba ya Kombe la Shirikisho la CRDB 2024/2025
  7. Simba SC Yavunja Mkataba na CEO Francois Regis
  8. Kocha Minziro Afurahishwa na Uchezaji wa Pamba Jiji, Aahidi Matokeo Bora
  9. Ken Gold Walazimisha Sare Dhidi ya Coastal Union Sokoine
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo