Kikosi cha Yanga Vs Simba Leo 19/10/2024

Kikosi cha Yanga Vs Simba Leo 19 10 2024

Kikosi cha Yanga Vs Simba Leo 19/10/2024 | Kikosi cha Yanga Leo Vs Simba SC | Kikosi cha Yanga Dhidi Simba Leo

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara Yanga SC leo watakua katika kibarua kigumu dhidi ya watani wao wa jadi Simba SC katika mchezo wa kumaliza mzozo baina ya mashabiki wao juu ya nani mkali wa soka Tanzania.

Mchezo huu unatarajia kuanza kutimua vumbi majira ya saa 11 jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, na ni miongoni mwa michezo mikubwa barani Afrika inayovutia mashabiki wengi kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Hii Kariakoo Derby ya Oktoba 19, 2024, inatarajiwa kuwa moto wa kuotea mbali kutokana na ushindani wa muda mrefu kati ya vilabu hivi viwili vikongwe ambavyo vimeonesha ubora wa hali ya juu katika michezo ya ivi karibuni. Simba SC, chini ya Kocha Fadlu Davids, wameshika nafasi ya wenyeji wa mchezo huu, huku wakipigania kuendeleza rekodi yao ya kutopoteza mechi msimu huu. Yanga SC, inayofundishwa na kocha Miguel Gamondi, inatarajiwa kuja kwa nguvu zote ili kusaka ushindi mbele ya wapinzani wao wakubwa.

Simba SC imeonyesha uimara mkubwa msimu wa 2024/2025, ikiwa haijapoteza mechi yoyote. Timu hiyo ilianza kampeni zake za ligi kwa ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Tabora United Agosti 18, 2024, kwenye Uwanja wa KMC.

Simba waliendelea kuvuna ushindi dhidi ya Fountain Gate kwa mabao 4-0 na Azam FC kwa ushindi wa 2-0 katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Hata hivyo, walijikuta wakipata sare ya 2-2 dhidi ya Coastal Union katika mechi ya hivi karibuni, jambo ambalo linawapa changamoto kuingia kwenye Derby hii kwa ari zaidi ya kurudi kwenye mchakato wa ushindi.

Kwa upande wa Yanga SC, mabingwa hao watetezi pia hawajapoteza mechi yoyote msimu huu. Kocha Miguel Gamondi ana matumaini makubwa kwamba kikosi chake kitafanya vizuri katika mechi hii muhimu. Hata hivyo, amekiri kuwa wachezaji wake baadhi wanakabiliwa na majeraha, ingawa hakutaka kufichua ni nani atakayeikosa Derby hii.

Kikosi cha Yanga Vs Simba Leo 19/10/2024

Kikosi cha Yanga Vs Simba Leo 19/10/2024

Kocha wa Yanga Miguel Gamond anatarajiwa kutangaza kikosi cha Yanga leo dhidi ya Simba Majira ya Saa kumi ambapo wengi wanatarajia kuona kikosi hicho kikiwa kimesheni wachezaji nyota wote akiwemo, Chama, Aziz Ki, Max nzegeli na Pacaome. Hapa tukakuletea orodha kamili ya wachezaji watakaounda kikosi cha Yanga leo dhidi ya Simba Sc.

Kikosi cha Yanga Vs Simba Leo 19/10/2024

Angalia Hapa Kikosi cha Simba Vs Yanga Leo 19/10/2024

Rekodi za Timu Katika Mechi Zilizopita

Simba SC imeonyesha uimara mkubwa msimu wa 2024/2025, ikiwa haijapoteza mechi yoyote. Timu hiyo ilianza kampeni zake za ligi kwa ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Tabora United Agosti 18, 2024, kwenye Uwanja wa KMC.

Simba waliendelea kuvuna ushindi dhidi ya Fountain Gate kwa mabao 4-0 na Azam FC kwa ushindi wa 2-0 katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Hata hivyo, walijikuta wakipata sare ya 2-2 dhidi ya Coastal Union katika mechi ya hivi karibuni, jambo ambalo linawapa changamoto kuingia kwenye Derby hii kwa ari zaidi ya kurudi kwenye mchakato wa ushindi.

Kwa upande wa Yanga SC, mabingwa hao watetezi pia hawajapoteza mechi yoyote msimu huu. Kocha Miguel Gamondi ana matumaini makubwa kwamba kikosi chake kitafanya vizuri katika mechi hii muhimu. Hata hivyo, amekiri kuwa wachezaji wake baadhi wanakabiliwa na majeraha, ingawa hakutaka kufichua ni nani atakayeikosa Derby hii.

Wachezaji Watakaoangaliwa kwa Makini

Simba SC inatarajia kutegemea huduma za washambuliaji wake hatari kama Che Malone ambaye ameanza msimu huu kwa kasi kubwa, akifunga mabao muhimu kwenye mechi zao za awali. Pia, kiungo mshambuliaji Jean Ahoua amekuwa na mchango mkubwa kwenye safu ya ushambuliaji wa Simba, akitoa pasi za mabao ambazo zimepelekea timu hiyo kupata ushindi muhimu.

Kwa upande wa Yanga SC, wachezaji kama Maxi Nzengeli, aliyefunga bao la ushindi kwenye mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, atakuwa mtu wa kuangaliwa kwa karibu. Aidha, Pacome Zouzoua na Stephan Aziz Ki wanatarajiwa kuwa na mchango mkubwa kwenye safu ya kiungo, wakisaidia kusambaza mipira na kuimarisha safu ya ushambuliaji ya Yanga.

Mapendekezo ya Mhariri:

Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo