Kikosi Cha Coastal Union FC 2024/2025

Kikosi Cha Coastal Union FC 2024 25

Kikosi Cha Coastal Union FC 2024/2025

Coastal Union Football Club, ni miongoni mwa klabu maarufu katika ulimwengu wa soka Tanzania inayotoka mkoa wa Tanga. Klabu hii maranyingi hujulikana kama wagosi wa kaya ni miongoni mwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania. Ikiwa na historia ya kuibua ya kutoa ushindani mkali kwa timu kubwa nchini, Coastal Union inatazamia msimu mzuri wa 2024/2025. Timu hii inacheza mechi zake za nyumbani katika Uwanja wa Mkwakwani, maarufu kwa kuwa ngome yao na kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka kutoka mkoa wa Tanga.

Kwa msimu wa 2024/2025, Coastal Union imeongeza vipaji vipya katika kikosi chake chenye mchanganyiko wa wachezaji wazoefu na vijana wenye vipaji vya hali ya juu. Kikosi hiki kinaongozwa na nyota kama Ley Matampi, golikipa bpora msimu wa 2023/24, na John Mkwata. Lengo kuu la klabu ni kuhakikisha wanaboresha nafasi yao kwenye msimamo wa ligi na kuwa wapinzani wakubwa kwa timu za juu.

Kikosi Kamili cha Coastal Union FC 2024/2025

Kikosi Cha Coastal Union FC 2024/2025

Kikosi cha Coastal Union kinajumuisha wachezaji wenye uwezo wa kupambana na kupata matokeo uku wakitoa kutoa burudani safi kila wanapoingia uwanjani. Hapa chini ni majina ya wachezaji wa kikosi cha Coastal Union 2024/2025:

  • Ley Matampi (Namba 40)
  • Greyson Gwala (Namba 17)
  • Maabad Maulid (Namba 9)
  • John Mkwata (Namba 20)
  • Abdallah Denis (Namba 12)
  • Haroub Mohamed (Namba 21)
  • Abdallah Hassan (Namba 10)
  • Maulid Shaban (Namba 7)
  • Mirajy Abdallah (Namba 33)
  • Mukrim Abdallah (Namba 32)
  • Semfuko Daudi (Namba 37)
  • Ally Msangi (Namba 5)
  • Lucas Alumieda (Namba 8)
  • Cosmas Lucas (Namba 12)
  • Hernest Malonga (Namba 25)
  • Hussein Salimu (Namba 28)
  • Jeremie Ntambwe (Namba 16)
  • Mbaraka Yusuph (Namba 24)
  • Jackson Kataga (Namba 29)
  • Kalumba Banza (Namba 34)
  • Athumani Hassani (Namba 35)

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Kikosi cha Fountain Gate FC 2024/2025
  2. Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025
  3. Kikosi cha Kinondoni Municipal Council F.C 2024/2025 (Wachezaji wa KMC)
  4. Kikosi Cha Yanga 2024/2025 | Wachezaji Wote Wa Yanga
  5. Kikosi cha Chelsea UEFA Conference League 2024/2025
  6. Kikosi Cha Simba 2024/2025 | Wachezaji Wote wa Simba
  7. Kikosi cha Kengold 2024/2025 (Wachezaji wote wa KenGold FC)
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo