Goli Pekee la Ngushi Laipa Mashaujaa Ushindi Dhidi ya Coastal Union

Goli Pekee la Ngushi Laipa Mashaujaa Ushindi Dhidi ya Coastal Union

Goli Pekee la Ngushi Laipa Mashaujaa Ushindi Dhidi ya Coastal Union

Bao la dakika ya 14 lililofungwa na mshambuliaji Crispin Ngushi limetosha kuipa Mashujaa FC ushindi muhimu wa 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa Uwanja wa KMC, Mwenge jijini Dar es Salaam.

Ushindi huo unaipandisha Mashujaa FC hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi saba baada ya kucheza mechi tatu, ikizidiwa na Singida Black Stars yenye pointi tisa. Coastal Union inasalia mkiani ikiwa na pointi moja baada ya kucheza mechi mbili.

Goli Pekee la Ngushi Laipa Mashaujaa Ushindi Dhidi ya Coastal Union

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Nani Atashinda Ballon d’Or 2024? Rodri, Vinicius Jr, Au Jude Bellingham?
  2. Yanga Vs CBE SA: Saa Ngapi Mechi Inaanza?
  3. Lawi Ndani ya Kikosi cha Coastal Union Dhidi ya Mashujaa
  4. Kocha wa Kagera Sugar Aelezea Masikitiko Baada ya Vipigo Mfululu
  5. Wachezaji Simba Waahidi Ushindi Dhidi ya Al Ahly Tripoli
  6. Coastal Union yamkana Juma Mgunda
  7. Kundi la Tanzania Kufuzu AFCON U20 Kanda ya CECAFA
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo