Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2024 (NECTA GATCE Results)
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) ndio chombo kikuu kinachosimamia mitihani yote ya kitaifa nchini Tanzania, ikiwemo Mtihani wa Ualimu Ngazi ya Cheti (GATCE). Mtihani huu ni muhimu sana katika kuhakikisha ubora wa walimu wanaotarajiwa kuingia katika sekta ya elimu nchini. Kila mwaka, maelfu ya vijana hukabiliana na mtihani huu, wakiwa na matumaini ya kupata cheti kitakachowawezesha kuwa walimu waliofuzu kufundisha shule mbalimbali katika ngazi ya msingi.
Matokeo ya GATCE kwa mwaka 2024 yanatarajiwa kwa hamu kubwa, si tu na watahiniwa bali pia na wazazi, walimu, na wadau wengine wa elimu. Matokeo haya yanatoa picha ya jumla kuhusu ubora wa mafunzo ya ualimu nchini, na pia yanaweza kutumiwa kubaini maeneo yanayohitaji maboresho zaidi. Katika chapisho hili, Habariforum tumekuletea taarifa zote kuhusu Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2024 (NECTA GATCE Results) ikiwemo ni lini Matokeo haya yanaweza kutangazwa, Jinsi ya kuangalia na pia tutakuletea viungo unavyo weza kutumia kuangalia matokeo haya moja kwa moja bila kupata shida yeyote.
Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2024 (NECTA GATCE Results)
Baraza la mtihani tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2024 (NECTA GATCE Results). Matokeo hayo yametangazwa leo july 13 2024 na mtendaji necta anatangaza matokeo ya kidato cha sita na ualimu 2024
Angalia Hapa Utangazaji Wa NMatokeo ya Ualimu 2024 (NECTA GATCE Results)
Angalia Hapa Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2024 (NECTA GATCE Results)
|
Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2024 (NECTA GATCE Results)
Kama wewe ni muhitimu uliefanya mtihani wa ualimu katika mwaka wa masomo 2024 na hujui jinsi ya kuangalia matokeo basi hapa tupo kwa ajili ya kukupa msaada. Fuata muongozo huu chini kuangalia Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2024 (NECTA GATCE Results).
1. Tembelea Tovuti ya NECTA
Tembelea tovuti rasmi ya NECTA: www.necta.go.tz.
2. Nenda kwenye Menyu ya Tovuti na Bonyeza “Matokeo”
Katika ukurasa wa kwanza wa tovuti ya NECTA, nenda kwenye menyu kuu na bonyeza kipengele cha “Matokeo.”
3. Chagua “Matokeo ya ACSEE”
Kutoka kwenye orodha ya matokeo, chagua “Matokeo ya ACSEE” ambayo ni matokeo ya mtihani wa Kidato cha Sita.
4. Bonyeza “Matokeo ya ACSEE 2024”
Ukurasa wa Matokeo ya ACSEE utafunguka, bonyeza “Matokeo ya ACSEE 2024” kuona matokeo ya mwaka 2024.
5. Tafuta Shule Yako
Ukurasa wa “Utafutaji wa Matokeo ya Mtihani wa ACSEE 2024” utafunguka. Tafuta jina la shule yako kutoka kwenye orodha iliyopo.
6. Bonyeza Kiungo cha Shule Yako
Bonyeza kiungo cha shule yako ili kuona matokeo yake. Ili kupata matokeo yako binafsi, fungua kiungo cha shule yako kisha tafuta jina lako baada ya ukurasa wa matokeo ya shule kufunguka.
Leave a Reply