Wafungaji Bora EURO 2024: Hawa Ndio Vinara Wa Magoli EURO 2024
Mashindano ya EURO 2024 yameanza kwa kishindo, na vita ya kuwania Kiatu cha Dhahabu imeshika kasi! Mchuano wa kufunga mabao mengi zaidi kwenye ardhi ya Ujerumani umezidi kupamba moto huku mataifa bingwa wa soka barani Ulaya kama Ufaransa, Uingereza na wenyeji Ujerumani wakichuana vikali kuwania ubingwa wa huu wa 17 wa michuano yaa Ubingwa wa Ulaya kitaifa.
Wachezaji Wanaopewa Nafasi Kubwa ya Kuibuka Wafungaji Bora EURO 2024
Wakati mataifa kama Ujerumani, Ufaransa na Hispain wakiwa wamepewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa EURO 2024, kuna wachezaji ambao wamekuwa wakitajwa sana kama wagombea wakuu wa Kiatu cha Dhahabu kutokana na uwezo wao mkubwa wa kufunga magoli:
- Kylian Mbappé (Ufaransa): Nyota huyu wa Real Madrid anaingia kwenye mashindano akiwa na kasi na uwezo wa hali ya juu.
- Harry Kane (Uingereza): Nahodha wa Uingereza ana rekodi nzuri ya kufunga mabao kwenye mashindano makubwa.
- Cristiano Ronaldo (Ureno): Mfungaji bora wa muda wote wa michuano ya EURO, Ronaldo atakuwa anatafuta kuongeza idadi ya mabao yake.
Wafungaji Bora EURO 2024: Hawa Ndio Vinara Wa Magoli
Hadi sasa 16 June 2024, Kai Havertz wa Ujerumani na Fabian Ruiz wa Uhispania ndio vinara wa mabao, kila mmoja akiwa na bao moja na asisti moja. Lakini hii ni mwanzo tu, mchuano bado mbichi! Ni nani atakayeibuka mfungaji bora?
Hawa Ndio Vinara Wa Magoli EURO 2024
Nafasi | Mchezaji | Nnchi | Magoli (PKs) | Asisti | Idadi ya Mechi |
1 | Dani Olmo | Spain | 3 (0) | 2 | 5 |
= | Georges Mikautadze | Georgia | 3 (1) | 1 | 4 |
= | Cody Gakpo | Netherlands | 3 (0) | 1 | 6 |
= | Harry Kane | England | 3 (1) | 0 | 6 |
= | Ivan Schranz | Slovakia | 3 (0) | 0 | 4 |
= | Jamal Musiala | Germany | 3 (0) | 0 | 5 |
7 | Fabian Ruiz | Spain | 2 (0) | 2 | 5 |
= | Kai Havertz | Germany | 2 (2) | 1 | 5 |
= | Niclas Fullkrug | Germany | 2 (0) | 0 | 5 |
= | Donyell Malen | Netherlands | 2 (0) | 0 | 4 |
= | Merih Demiral | Turkey | 2 (0) | 0 | 4 |
= | Florian Wirtz | Germany | 2 (0) | 0 | 5 |
= | Breel Embolo | Switzerland | 2 (0) | 0 | 5 |
= | Razvan Marin | Romania | 2 (0) | 0 | 4 |
= | Jude Bellingham | England | 2 (0) | 0 | 6 |
Vinara wa Magoli Kwenye Mashindano Ya EURO Muda wote
Msimu | Mshindi Wa Kiatu Cha Dhahabu | Idadi ya Magoli |
2020 | Cristiano Ronaldo (POR) | 5 |
2016 | Antoine Griezman (FRA) | 6 |
2012 | Fernando Torres (SPA) | 3 |
2008 | David Villa (SPA) | 4 |
2004 | Milan Baros (CZE) | 5 |
2000 | Patrick Kluivert (NED), Savo Milosevic (SER) | 5 |
1996 | Alan Shearer (ENG) | 5 |
1992 | Dennis Bergkamp (NED), Tomas Brolin (SWE), Henrik Larsen (DEN), Karl-Heinz Riedle (GER) | 3 |
1988 | Marco van Basten (NED) | 5 |
1984 | Michel Platini (FRA) | 9 |
1980 | Klaus Allofs (GER) | 3 |
1976 | Dieter Muller (GER) | 4 |
1972 | Gerd Muller (GER) | 4 |
1968 | Dragan Dzajic (YUG) | 2 |
1964 | Ferenc Bene (HUN), Dezso Novak (HUN), Chus Pereda (SPA) | 2 |
1960 | Milan Galic (YUG), Francois Heutte (FRA), Valentin Ivanov (SOV), Drazan Jerkovic (YUG), Viktor Ponedelnik (SOV) | 2 |
Mapendekezo Ya Mhariri:
- Matokeo Ya Mechi Za Euro 2024
- Msimamo Makundi ya EURO 2024
- Ratiba Ya EURO 2024, Hatua Ya Makundi
- Kikosi cha Ureno kitakachoshiriki Euro 2024
- Clement Mzize: Mfungaji Bora Kombe la Shirikisho la CRDB Bank 2024
- Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2023/24
- Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2023/24
- Vinara wa Assist Ligi Kuu NBC 2023/24: Wafalme wa Pasi za Mwisho Tanzania
- Orodha Ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/2024
Leave a Reply