Ratiba Ya EURO 2024, Hatua Ya Makundi

Ratiba Ya EURO 2024, Hatua Ya Makundi | Ratiba Ya Mashindano Ya UEFA EURO 2024/2025

Ujerumani inajiandaa kuwa mwenyeji wa tamasha kubwa la soka barani Ulaya, michuano ya UEFA Euro 2024. Mtanange unaanza rasmi tarehe 14 Juni, huku wenyeji Ujerumani wakichuana vikali na Scotland katika mechi ya kwanza kabisa ya hatua ya makundi. Mashindano haya makubwa ya Euro 2024 yanatarajiwa kuwa ya kipekee zaidi, yakiwa na jumla ya nchi 24 zinazoshiriki na mechi 51 zitakazochezwa katika kipindi cha siku 30. Mabingwa watetezi, Italia, watakuwa wakipigania kutetea taji lao waliloshinda kwa mikwaju ya penalti mwaka 2020. Hata hivyo, wachambuzi wa soka wanazipa nafasi kubwa timu za England, Ufaransa, na Ujerumani kutwaa ubingwa huo.

Makundi 6 Ya EURO 2024;ย  Vita Kali Kupigika Katika Hatua ya Makundi

Timu zote 24 zimegawanywa katika makundi sita, kila kundi likiwa na timu nne. Timu hizi zitachuana katika mfumo wa raundi moja, ambapo timu mbili bora kutoka kila kundi zitatinga hatua ya 16 bora. Pia, timu nne bora zilizoshika nafasi ya tatu zitajiunga na kundi la timu 16 bora. Hatua inayofuata itakuwa robo fainali, nusu fainali, na hatimaye fainali.

Makundi Yote Sita Ya EURO 2024

  • Kundi A: Ujerumani, Scotland, Hungaria, Uswisi
  • Kundi B: Hispania, Kroatia, Italia, Albania
  • Kundi C: Slovenia, Denmark, Serbia, Uingereza
  • Kundi D: Poland, Uholanzi, Austria, Ufaransa
  • Kundi E: Ubelgiji, Slovakia, Romania, Ukraine
  • Kundi F: Uturuki, Georgia, Ureno, Jamhuri ya Czech

Ratiba Ya EURO 2024, Hatua Ya Makundi

Ratiba Ya EURO 2024, Hatua Ya Makundi

Juni 14 (Munich)

  1. Ujerumani ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 5-1 Scotland ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ (Allianz Arena)

Juni 15

  1. Hungaria ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡บ vs Uswisi ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ (Cologne, RheinEnergieStadion, 15:00)
  2. Hispania ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ vs Kroatia ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท (Berlin, Olympiastadion, 18:00)
  3. Italia ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น vs Albania ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฑ (Dortmund, Signal Iduna Park, 21:00)

Juni 16

  1. Poland ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฑ vs Uholanzi ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ (Hamburg, Volksparkstadion, 15:00)
  2. Slovenia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ vs Denmark ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ (Stuttgart, Mercedes-Benz Arena, 18:00)
  3. Serbia ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ธ vs Uingereza ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ (Gelsenkirchen, Veltins-Arena, 21:00)

Juni 17

  1. Romania ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด vs Ukraine ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ (Munich, Allianz Arena, 15:00)
  2. Ubelgiji ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช vs Slovakia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฐ (Frankfurt, Deutsche Bank Park, 18:00)
  3. Austria ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น vs Ufaransa ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท (Dรผsseldorf, Merkur Spiel-Arena, 21:00)

Juni 18

  1. Uturuki ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท vs Georgia ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ช (Dortmund, Signal Iduna Park, 18:00)
  2. Ureno ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น vs Jamhuri ya Czech ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ (Leipzig, Red Bull Arena, 21:00)

Juni 19

  1. Kroatia ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท vs Albania ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฑ (Hamburg, Volksparkstadion, 15:00)
  2. Ujerumani ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช vs Hungaria ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡บ (Stuttgart, Mercedes-Benz Arena, 18:00)
  3. Scotland ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ vs Uswisi ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ (Cologne, RheinEnergieStadion, 21:00)

Juni 20

  1. Slovenia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ vs Serbia ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ธ (Munich, Allianz Arena, 15:00)
  2. Denmark ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ vs Uingereza ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ (Frankfurt, Deutsche Bank Park, 18:00)
  3. Hispania ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ vs Italia ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น (Gelsenkirchen, Veltins-Arena, 21:00)

Juni 21

  1. Slovakia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฐ vs Ukraine ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ (Dรผsseldorf, Merkur Spiel-Arena, 15:00)
  2. Poland ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฑ vs Austria ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น (Berlin, Olympiastadion, 18:00)
  3. Uholanzi ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ vs Ufaransa ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท (Leipzig, Red Bull Arena, 21:00)

Juni 22

Georgia ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ช vs Jamhuri ya Czech ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ (Hamburg, Volksparkstadion, 15:00)
Uturuki ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท vs Ureno ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น (Dortmund, Signal Iduna Park, 18:00)
Ubelgiji ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช vs Romania ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด (Cologne, RheinEnergieStadion, 21:00)

Juni 23

  1. Uswisi ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ vs Ujerumani ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช (Frankfurt, Deutsche Bank Park, 21:00)
  2. Scotland ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ vs Hungaria ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡บ (Stuttgart, Mercedes-Benz Arena, 21:00)

Juni 24

  1. Kroatia ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท vs Italia ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น (Leipzig, Red Bull Arena, 21:00)
  2. Albania ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฑ vs Hispania ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ (Dรผsseldorf, Merkur Spiel-Arena, 21:00)

Juni 25

  1. Uholanzi ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ vs Austria ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น (Berlin, Olympiastadion, 18:00)
  2. Ufaransa ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท vs Poland ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฑ (Dortmund, Signal Iduna Park, 18:00)
  3. Uingereza ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ vs Slovenia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ (Cologne, RheinEnergieStadion, 21:00)
  4. Denmark ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ vs Serbia ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ธ (Munich, Allianz Arena, 21:00)

Juni 26

  1. Slovakia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฐ vs Romania ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด (Frankfurt, Deutsche Bank Park, 18:00)
  2. Ukraine ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ vs Ubelgiji ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช (Stuttgart, Mercedes-Benz Arena, 18:00)
  3. Jamhuri ya Czech ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ vs Uturuki ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท (Hamburg, Volksparkstadion, 21:00)
  4. Georgia ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ช vs Ureno ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น (Gelsenkirchen, Veltins-Arena, 21:00)

Mapendekezo Ya Mhariri:

  1. Dirisha la Usajili Ligi Kuu Tanzania kufungwa Juni 15 hadi Agosti 15, 2024
  2. Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Simba 2024
  3. Klabu za Tanzania Zinazoshiriki Kagame Cecafa CUp 2024
  4. Timu zitakazo shiriki CECAFA kagame Cup 2024
  5. Jinsi Ya Kupata Leseni Ya Udereva 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo